Alexei Navalny akamatwa baada ya kurejea nyumbani

Waziri wa mambo ya kigeni wa Ujerumani Heiko Maas ametoa mwito hii leo wa kuachiliwa kwa Alexei Navalny, mkosoaji mkuu wa rais wa Urusi Vladimir Putin, anayeshikiliwa kizuizini baada ya kurejea nchini humo jana akitokea Ujerumani. 


Maas amesema Urusi inapaswa kuheshimu majukumu yake ya kulinda haki za raia na utawala wa sheria, ambayo pia yanamhusisha mkosoaji huyo mwenye ushawishi mkubwa. Matamshi yake yanakwenda sambamba na yaliyotolewa na viongozi wa nchi nyingine za Ulaya na Marekani. 

Mshauri wa masuala ya usalama wa taifa wa rais mteule wa Marekani Joe Biden, Jake Sullivan amesema hatua hiyo ya Urusi sio tu ukiukaji wa haki za binadamu, lakini pia ni dharau kwa watu wa taifa hilo wanaotaka sauti zao zisikike. 

Mawakili wa Navalny wanasema hawajaruhusiwa kumuona tangu alipokamatwa jana. Urusi imesema ukosoaji wa nchi za magharibi una lengo la kuficha matatizo ya ndani ya nchi hizo.

Maoni

  1. Nilipitia kipindi kigumu sana cha kutengana na mpenzi wangu. Tuliacha kuzungumza, na hata alinizuia kwenye mitandao yote ya kijamii. Nilivunjika moyo na sikujua la kufanya, kwa hivyo nilianza kutafuta msaada mtandaoni. Hapo ndipo nilipokutana na shuhuda kadhaa kuhusu Dkt. Dawn na jinsi alivyowasaidia watu kuunganisha tena mahusiano na ndoa zilizovunjika, na pia kuwasaidia wanawake kupata mimba kupitia mwongozo wake.

    Mwanzoni, sikuwa na uhakika, lakini niliamua kuwasiliana naye. Tulipozungumza, aliniambia mambo kunihusu na uhusiano wangu ambayo yalikuwa sahihi sana. Kisha akaniongoza kuhusu kile nilichopaswa kufanya.

    Kwa mshangao wangu, ndani ya saa 48, mpenzi wangu—ambaye alikuwa amenikatisha tamaa kabisa—alianza kunipigia simu na kunitumia ujumbe mwingi, akiomba msamaha na kuomba msamaha. Nilimsamehe, na tukarudiana.

    Sio hivyo tu, bali kwa ibada na mwongozo wake wenye nguvu, sasa tumebarikiwa na watoto wawili wazuri.

    Ninashukuru sana kwa kila kitu, na ninampendekeza sana Dkt. Dawn kwa yeyote anayepitia changamoto za uhusiano, ndoa, au uzazi.

    WhatsApp yake: +2349046229159

    dawnacuna314@gmail.com

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HADITHI:MWALIMU MAGDALENA sehemu ya 1

Hadithi: Mwalimu Magdalena sehemu ya 5

Hadithi: Mwalimu Magdalena sehemu ya 4