"TOROKA UJE" BAA YA WIKI SHINDANO LA FANYAKWELI KIWANJANI"
Bi. Veronica Mbilinyi
(Kushoto) mwakilishi kutoka Kampuni ya bia ya Serengeti akikabidhi zawadi ya
Tisheti kwa Bw. Johnston Liwale kama shukrani kwa mpenzi huyo wa Kinywaji cha
Tusker ambaye alijumuika na wadau wengine kwenye sherehe ya kuipongeza baa ya
“Toroka uje” iliyopo Kimara-Korogwe ambapo baa hiyo iliibuka mshindi wa kwanza
kwenye promosheni ya Fanyakweli Kiwanjani inayoendeshwa na Kampuni ya bia ya
Serengeti kwa udhanmini wa bia yake madhubuti chapa Tusker. Kampeni hiyo
inatazamiwa kudumu kwa muda wa wiki tano huku baa zaidi ya 50 za jiji la Dar es
salaam zikishindanishwa.
Mtangazi wa kipindi pendwa cha Ubaoni kinachorushwa na redio E-fm Bw. Gadner G. Habbash (Kulia) akikabidhi zawadi ya Tisheti na bia kwa mpenzi wa kinywaji cha Tusker Bw. Adrian Sengebere(Katikati) wakati wa kusherekea ushindi wa baa ya “Toroka uje” iliyopo Kimara-Korogwe mara baada ya baa hiyo kuibuka kinara wa kwanza kwenye promosheni ya Fanyakweli Kiwanjani ambapo kupitia ushindi wao walifanyiwa sherehe ya nguvu na kampuni ya bia ya Serengeti kwa udhamini wa bia yake madhubuti ya Tusker iliyofunga kambi kwenye baa hiyo siku ya jumamosi na kuporomosha burudani ya nguvu kwa wateja wake huku lengo likiwa ni kukitangaza kiwanja hicho kama kiwanja bora zaidi kwa upande huo wa Kimara na kwa kufanya hivyo kuiongezea baa hiyo mapato yake. (Kushoto) ni mhudumu wa bia ya Tusker Bi. Anneth Kimaro. Kampeni hii inatazamiwa kudumu kwa muda wa wiki tano huku baa zaidi ya 50 za jiji la Dar es salaam zikishindanishwa. |
Maoni
Chapisha Maoni