Mawasiliano ya kijamii yakatwa Burundi
Mamia ya waandamanaji wako barabarani
kwenye mji mkuu wa Buruni ,Bujumbura kwa siku ya nne ya ghasia kutokana
na uamuzi wa rais kwa kuwania muhula wa tatu.
Utawala nchini Burundi umekata mawasiliano ya mitandao ya kijamii kupitia kwa simu ya mkononi mawasiliano ambayo wamekuwa wakitumia kupanga maandamano ya kumpinga rais Pierre
Nkurunziza.
Utawala nchini Burundi umekata mawasiliano ya mitandao ya kijamii kupitia kwa simu ya mkononi mawasiliano ambayo wamekuwa wakitumia kupanga maandamano ya kumpinga rais Pierre
Nkurunziza.
Mwandishi wa BBC nchini Burundi
anasema aliwaona waandamanaji katika eneo la Musaga wakiinua mikono
kuwaonyesha polisi kuwa hawakuwa wamejihami.
Wanasema kuwa wanazuiliwa kuondoka na kuwa chakula hakifiki eneo hilo.-bbc
Maoni
Chapisha Maoni