Tanzania, China wajadili juu ya mkutano wa jukwaa la Viongozi
Balozi wa China nchini Tanzania Mheshimiwa Dr.Lu
Youqing akiongea na kushoto ni Naibu waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais
(Mazingira) Mhe. Stephen Masele walipokutana kwenye ukumbi wa ubalozi huo kuzungumzia
mkutano wa kimataifa wa viongozi vijana wa Afrika na China unatorajiwa
kufanyika kuanzia Machi 27
na kumalizika Machi 31 katika Ukumbi wa Hoteli ya Ngurdoto, mkoani Arusha.
Balozi wa China hapa nchini Mheshimiwa Dr.Lu
Youqing akipeana mkono na Naibu waziri wa
nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Mhe. Stephen Masele mara baada ya kikao
chao kufikia tamati ambapo walijadili hatua walizozifikia katika kuandaa
mkutano huo wa kimataifa wa viongozi vijana wa Afrika na China unatorajiwa
kufanyika kuanzia Machi 27
na kumalizika Machi 31 katika Ukumbi wa Hoteli ya Ngurdoto, mkoani Arusha.
Balozi wa China hapa nchini Mheshimiwa Dr.Lu
Youqing akijibu swali aliloulizwa na mwandishi wa habari (Hayupo pichani)
wakati wa kujadili mustakabali wa uandaaji wa mkutano wa kimataifa wa viongozi
vijana wa Afrika na China unatorajiwa kufanyika kuanzia
Machi 27 na kumalizika Machi 31 katika Ukumbi wa Hoteli ya Ngurdoto, mkoani Arusha.
(Kushoto)
ni Naibu waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Mhe. Stephen Masele
ambaye ni mwenyekiti wa maandalizi ya mkutano huo.
Maoni
Chapisha Maoni