Sserunkuma aichafuaSimba SC Uganda
MSHAMBULIAJI waSimba, Dan Sserunkuma,
amelichafuajina la klabuyakehiyonchinikwao Uganda,baadayakudaiwakutakakuondokaMsimbazikwakuwaamekuwaakilazimishwakujihusishana
mambo yakishirikina.
Sserunkumaamekuwanjeyakikosi cha Simbakwatakribani
wiki
mbiliambapoilielezwakuwastraikahuyoalirejeakwaokutokananakuuguliwananduguyake,
hukutaarifanyinginezikidaikuwaameikachatimuyakehiyo.
BINGWA janalilinasaujumbekatikamtandaowakijamiiwa twitter
kwenyeukurasawamwandishiwamichezowanchini Uganda, Collins Okinyo,ukisomeka:
“Mshambuliajihatari, Dan Sserunkuma,hanafurahandaniyaSimbanaanatakakuondokakutokananakutengwanakulazimishwakujihusishanaimanizakishirikinanaviongoziwaklabuyake.
“SserunkumaamekuwaakilazimishwanaviongoziwaSimbakwendakwawagangawakienyejikutibujeraha
lake la gotiiliawezekufungamabao.”
Habarihiyoimeonekanakuvutahisiazawapenziwengiwasokanchini
Uganda ambaowamekuwawakitoamaoniyao, wengiwakiilaumuSimbakwakitendohicho, hukuwenginewakimshauristraikahuyokurejeaGorMahiaya
Kenya.
Baadayakueneakwataarifahiyoyakwenyemtandao,
Sserunkumaalikanushaharakauvumihuokupitiaukurasa wake wa twitter, akisema:
“Sijawahikulazimishwakutumia mambo yakishirikinanauongoziwaSimbakwanisiamini
mambo hayo.”
NayeOfisaHabariwaSimba, Haji Manara,
amesemakuwataarifahizonizauongonahawajawahikumlazimishamchezajiwaoyeyotekushirikikwenyeimanihizo.
“Huoniuongonahatamchezajimwenyeweamekanahilo,
sisihatuwezikujiingizakwenyeimanihizo, kamatungekuwatunafanyakwelibasitungempelekanaOkwiiliawafungeYangamabaomanne,”
alisemaManara.
TanguSserunkumaalipotuaSimbakwakilaainayambwembwe,
ameshindwakung’araakiwanatimuhiyo, hukuMgandamwenzake, Emmanuel
OkwiakizidikuchanuaMsimbazi, akifuatiwanaWagandawengine, Simon SserunkumanaJjuukoMurushid.
Kati
yawachezajiwotewakigeniwaSimbawaliosajiliwausajiliwadirishadogomwakajana, Danny
Sserunkumandiyealiyeonekanakuwanathamanizaidilakiniameshindwakukonganyoyozawapenziwaklabuhiyo.
Pamojanakuanzamapemamazoezinawenzake,
akiwaameshirikimichuanoyaKombe la Mapinduzi Zanzibar,
Sserunkumaameonekanasilolotekiasi cha kuwekwabenchikatikamechikadhaa,
ikiwamoiledhidiyawataniwaowajadi, YangaMachi 8, mwakahuu.
IkumbukwekuwaSimbailimsajilimshambuliajihuyokutokananarekodiyakeyakutwaamarambilituzoyaufungaji
bora nchini Kenya, lakinihadisasaameifungiatimuyakehiyomabaomatatu.-bingwa
Maoni
Chapisha Maoni