MHE. DKT GHARIB BILAL ATOA WITO KWA VIJANA KUJITUMA
Makamu
wa Rais
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana
na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhe.Stephen
Wasira,nje ya Ukumbi wa Hoteli ya Ngurdoto jijini Arusha mara
alipowasili kwa ajili ya kufunga rasmi mkutano wa 3 wa umoja wa vijana kati ya
Afrika na China ambapo mkutano huo wa siku 2 uliojadili juu ya mahusiano na
ushirikiano kati ya Afrika na China.(Pembeni (Kulia) ni Naibu waziri wa nchi
Ofisi ya makamu wa Rais(Mazingira) Mhe. Stephen Masele ambaye pia ndiye
Mwenyekiti wa maandalizi ya mkutano huo na (Kushoto) ni Mwenyekiti wa Umoja wa
vijana CCM Bw.Sadifa Hamis
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana
na Naibu waziri wa nchi Ofisi ya makamu wa Rais(Mazingira) Mhe. Stephen Masele
ambaye pia ndiye Mwenyekiti wa maandalizi ya mkutano huo nje ya Ukumbi wa
Hoteli ya Ngurdoto jijini Arusha mara alipowasili kwa ajili ya kufunga rasmi mkutano
wa 3 wa umoja wa vijana kati ya Afrika na China ambapo mkutano huo wa siku 2
uliojadili juu ya mahusiano na ushirikiano kati ya Afrika na China (Kulia) ni Waziri
wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhe.Stephen Wasira (Kushoto) ni Mwenyekiti wa Umoja wa vijana CCM
Bw.Sadifa Hamis.
|
Maoni
Chapisha Maoni