Asilimia 90 ya wakenya taabani
Inakadiriwa kuwa asilimia 90 ya watazamaji wa televisheni nchini Kenya
hawawezi kutazama vipindi vyao wavipendavyo hivi sasa, baada ya serikali
kuzima matangazo yanayorushwa kupitia mfumo wa analogi na kuwasha rasmi
mfumo wa dijitali.
Watazamaji hao ni wale wanaotumia vituo
vinavyomilikiwa na mashirika matatu makubwa kati ya matano nchini humo,
yaani National Media Group, Standard Group na Royal Media Services.
Unauzungumziaje mchakato huu wa kuhamia kwenye mfumo wa matangazo ya ditijali katika eneo la Afrika ya Mashariki?

Unauzungumziaje mchakato huu wa kuhamia kwenye mfumo wa matangazo ya ditijali katika eneo la Afrika ya Mashariki?
Maoni
Chapisha Maoni