UZINDUZI WA CHUPA NDOGO YA TUSKER
Wafanyakazi wa kampuni ya bia ya Serengeti wakisikiliza jambo wakati wa uzinduzi wa Chupa mpya ya Tusker yenye mililita 330, katika halfa iliyofanyika leo katika ukumbi wa Golden Jubilee jijini Dar es Salaam. |
Wahudumu wa kampuni ya bia ya Serengeti wakionyesha mwonekano wa chupa mpya ya bia ya Tusker yenye ujazo wa ml 330 .Kikundi cha sanaa cha Dar es Salaam Dance international(DDI) kikifanya vitu vyake wakati wa uzinduzi wa chupa mpya ya bia ya Tusker.
Wafanyakazi wa kampuni ya bia ya Serengeti wakiwaonyesha waaandishi wa habari , hawapo pichani, mwonekano mpya ya Bia ya Tusker yenye ujazo wa mlimita 330. Meneja masoko-Familia ya bia ya Tusker na Pilsner kampuni ya bia ya Serengeti, Anitha Msangi akiongea na waandishi wa habari , mara baada ya uzinduzi wa chupa mpya ya Tusker yenye ujazo wa mililita 330.Meneja masoko-Familia ya bia ya Tusker na Pilsner kampuni ya bia ya Serengeti, Anitha Msangi wakifurahia mwonekano mpya wa chupa ya bia ya Tusker.
Meneja masoko wa familia ya bia ya Tusker na Pilsner, Anitha Msangi (kushoto) na Mkurugenzi wa masoko, Bw.Ephraim Mafuru katikati na Meneja ubunifu wa bidhaa zote za kampuni ya bia ya Serengeti Ms. Attu Mynah wakionyesha chupa mpya ya bia ya Tusker kwa waandishi wa habari hawapo pichani
Bidhaa hii mpya ina ujazo wa ml 330 na itauzwa kwa bei ya Shilingi 2,300/= kwa bei ya rejareja.
Uzinduzi wa chupa hii mpya upo katika mtazamo wa kampuni wenye lengo la kwenda sambamba na hali ya soko.
Maoni
Chapisha Maoni