Mshindi wa pili wa bajaji kwenye shinda na serengeti apatikana

Displaying 1.JPGMeneja wa Bia chapa ya Serengeti, Rugambo Rodney katikati akithibitisha namba ya simu ya mkononi ya mshindi wa Limo Bajaj, wakati wa kuchezesha droo hiyo ya “tutoke na Serengeti” (kulia) ni Mkaguzi toka michezo ya kubahatisha , Abdallah Hemedy, na kushoto ni Mkaguzi toka Pricewatercoopers, Golder Kamuzora. Hafla hiyo ilifanyika makao makuu ya Serengeti jijini Dar es Salaam.
Displaying 2.JPG Mkaguzi toka Pricewatercoopers, Golder Kamuzora akithibitisha namba ya mshindi wa Limo bajaji, wakati wa kuchezesha droo ya kumtafuta mshindi wa pili wa limo bajaj, katikati ni Meneja wa Bia chapa ya Serengeti, Rugambo Rodney na kulia ni Mkaguzi toka bodi michezo ya kubahatisha , Abdallah Hemedy, hafla hiyo ilifanyika Serengeti mjini Dar es Salaam.


Displaying 3.JPG Meneja wa bia chapa Bia ya Serengeti, Rugambo Rodney ,akiongea kwa simu na mshindi wa Limo bajaj ya Pili kutolewa katika shindano la “Tutoke na Serengeti” Peter Emanuel mkazi wa Rombo Kilimanjaro katika shindano linaloendeshwa na ka mpuni hiyo ya bia ya Serengeti. Kulia ni Mkaguzi toka bodi michezo ya kubahatisha , Abdallah Hemedy, hafla hiyo ilifanyika Serengeti mjini Dar es Salaam.


Displaying 4.JPGDisplaying 5.JPGMeneja wa bia chapa Bia ya Serengeti, Rugambo Rodney ,akifafanua jambo wakati wa kuchezesha shindano la” Tutoke na Serengeti” ambapo Peter Emanuel mkazi wa Rombo mkoani nkilimanjaro ameibuka mshindin kwa kujinyakulia Limo Bajaj
michezo ya kubahatisha Abdullah Hemedy

Kampeni hii ya nchi nzima ilizinduliwa rasmi na kampuni ya SBL pamoja na B-Pesa mwanzoni mwa mwezi uliopita na imekuwa ikiwazawadia wateja wake kila wiki katika kila droo iliyokuwa ikifanywa na SBL chini ya usimamizi wa bodi ya michezo ya bahati nasibu Tanzania.
Baadhi ya washindi waliofaidika na kupata zawadi katika kampeni hii ni pamoja na : -Bi. Rukia Almasi ambaye ni mama wa nyumbani na mkazi wa Kihonda aliyejishindia Limo Bajaj ya kwanza na Hassan Mfaume aliyeshinda safari ya siku mbili kutembelea Serengeti National park ambayo itaigharimu SBL takriban Tsh 10 milioni.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HADITHI:MWALIMU MAGDALENA sehemu ya 1

Hadithi: Mwalimu Magdalena sehemu ya 5

Hadithi: Mwalimu Magdalena sehemu ya 4