Wakenya waandamana kudai usalama uimarishwe
Wakenya waliandama mjini Nairobi siku ya
Jumanne hadi ofisi ya rais kudaia kufukuzwa kwa waziri wa mambo ya ndani
na mkuu wa polisi kutokana na kuzorota kwa usalama nchini humo, hasa
baada ya kuuliwa kwa watu 28 huko Mandera na wapiganaji wa Kisomali -
al-Shabab.
Muandamanaji amelalia misalaba iliyopakwa rangi nyekundu kudai usalama zaidi
Waandamanaji wakiimba kutaka usalama zaidi Kenya
Waandamanaji wakimbia wakiacha majeneza baada ya kufurushwa na Polisi Nairobi
Waandamanaji waweka misalaba mwekundu kuonesha idadi ya walofariki kutokana na ghasia Kenya
Waandamanaji wakiimba kudai kuimarishwa kwa usalama na kuondolewa wakuu wa usalama
Waandamanaji wabeba majeneza ikimaanisha wamechoka kuwazika watu walouliwa wasio na hatia
Polisi wa Kenya wafyetua mabomu ya kutoa machozi dhidi ya waandamanaji Nairobi
Muandamanaji amelalia misalaba iliyopakwa rangi nyekundu kudai usalama zaidi
Maoni
Chapisha Maoni