IGP MSTAAFU PHILEMONI MGAYA ASHEREHEKEA MIAKA 85 YA KUZALIWA KWAKE HUKU WAZIRI MKUU MSTAAFU MSUYA AKIWAASA WATANZANIA.
Pata kiungo
Facebook
X
Pinterest
Barua pepe
Programu Nyingine
-
Mara Baada ya Ibada katika Kanisa la Azania Front wakati wa kuadhimisha miaka 85 ya kuzaliwa ya aliyekuwa Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Philemoni MgayaBaadhi ya waumini mbalimbali wakiwa nje baada ya IbadaMkuu
wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Mstaafu Philemoni Mgaya akiwa katika siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake KekiWaziri Mkuu
Mstaafu Cleopa Msuya akimpongeza aliyekuwa IGP Philemoni Mgaya Mzee Timothy Msangi akieleza Historia fupi ya IGP Mstaafu Philemoni Msangi Askofu Mkuu
wa Kanisa la Kilutheli Tanzania (KKKT) Alex Malasusa akitoa salam za Pongezi kwa IGP mstaafu Mshauri
wa kimataifa wa Kujitegemea wa Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Limited
James Rugemalira akitoa pongezi zake kwa IGP Mstaafu na kuelezea Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Limited Mkurugenzi
Mtendaji wa kampuni hiyo Benedicta Rugemalira akitoa salam za Pongezi kwa IGP mstaafu Mshereheshaji Joe Mgaya ambaye ni Mtoto wa IGP Mstaafu Philemoni Mgaya akisherehesWaziri wa Habari na Utangazaji Fenera Mukangara akimpa mkono wa Pongezi IGP mstaafu
Maoni
Chapisha Maoni