HADITHI:MWALIMU MAGDALENA sehemu ya 1
TITLE: MWALIMU MAGDALENA
SEHEMU ya kwanza
Kwa wasomaji wapya
Maisha ya shule yalimwendea vibaya John Sahau
akajikuta akiangukia kwenye dimbwi la mapenzi ya mwalimu wake, Mwalimu
Magdalena, shuleni hapo lakini kuhamia kwa mwalimu mpya wa somo la hisabati
kuna badilisha maisha ya John kiasi cha kushindwa kuendana na kasi ya masomo
kama alivyokuwa awali. Nini Mwalimu anafanya baada ya kugundua mwalimu mpya
ndiyo chanzo cha kushuka kiwango kwa John? Fuatilia hadithi hii ya kusisimua ya
Mwalimu Magdalena. Endelea
BAADA ya kuisha kwa
hadithi ya ‘BEHIND OF MY EYES’ leo tunawaletea hadithi mpya inayokwenda kwa jina
la ‘Mwalimu Magdalena’.
John anawahi mapema
kufika shuleni akiwataka wenzake wakamalizie kipande walichokiacha siku
iliyopita ili mvua zitakapoanza wawe wameshamaliza kazi hiyo.
Inawachukua muda mfupi
kumaliza kipande hichowanaingia darasani kwa ajili ya masomo.
Lakini kipindi cha
mwalimu Magdalena kinapofika hali ya John inabadilika na kupoteza mwelekeo kwa
kuwa anajikuta akiwa na haibu hata ya kushindwa kufanya vizuri darasani.
Mwalimu Magdalena
anatambua hali ya John anajaribu kumbadilisha lakini hali inakuwa ngumu.
Kinachomuumiza John ni
umbo lake kubwa linaloonekana kuwa tofauti na darasa la saba analosoma katika
shule ya Magadu iliyopo mkoani Morogoro.
Umbo hilo ni zawadi kwa
mwalimu Magdalena kwani mara kwa mara humtumia John kama mpenzi wake hali
inayomnyong’onyesha John kila anapoingia mwalimu huyo darasani.
“John mbona hivyo
mpenzi wangu,’’ anahoji Mwalimu Magdalena baada ya vipindi vya shule
“Unajua hali
unayoionyesha darasani ya haibu inanifedhehesha hadi mimi nashindwa kufundisha
unapokuwa katika hali hile na baada ya muda na wasiwasi itagundulika,’’
anaeleza kwa masikitiko mwalimu Magdalena
“Naomba unionee huruma
mimi najua ni vigumu kwa shule kama hizi kwa mwalimu kumpenda mwanafunzi tena
anayemfundisha lakini kwako imetokea sina nia mbaya nawe lakini hakika
nakupenda sana na nia yangu ufikie katika mafanikio ya ndoto zako naomba
nipende kama ninavyokupenda na siri hii tuiendeleze hadi utakapomaliza shule.
John ndiyo kwanza
alikuwa darasa la saba na mwalimu wake huyo alikuwa mwalimu wa somo la
Historia, alilipenda somo lake kama alivyokuwa akipendwa na wanafunzi na walimu
wa kiume waliokuwa wakisoma shule hiyo na walikuwa wakiishi jirani na mazingira
hayo ya shule.
Umbo lake la kuvutia
alionekana kama msichana mbichi ambaye macho yake hayakuwa na uwezo wa
kuwatazama wanafunzi aliokuwa akiwafundisha kutokana na haya aliyokuwa nayo.
Kila mwanafunzi
aliyekuwa akimfundisha alipenda kipindi chake cha Hiistoria hasa wakati
alipokuwa akiandika ubaoni.
Ukubwa wa umbile lake
kwa nyuma lilizidi kuwapa hamu ya kuongeza juhudi wanafunzi hao ili
wasimwangushe mwalimu huyo kwa kufeli somo lake.
Uwepo wa mwalimu
Magdalena katika shule hiyo uliongeza ufahuru wa wanafunzi katika somo hilo
isipokuwa John ambaye licha ya kufanya vibaya lakini alilazimika kumwekea alama
kubwa katika mitihani yake kutokana na upendo wake kwake.
“John tatizo ni nini
mbona wanafunzi wenzako wanaelewa wewe unaniangusha unafeli mtihani wangu
lakini mitihani ya walimu wengine unafahuru, usinifanyie hivyo John au tatizo
mimi kukupenda,’’ alijieleza mwalimu Magdalena kwa John ambaye hakuonyesha hata
kuwa na muonekano wa kimapenzi kwa mwalimu huyo aliyekua amelala kitandani kwake
akiwa na nguo ya kulalia huku sehemu kubwa ya mapaja yake ikiwa wazi.
Muonekano huo ulikuwa
tosha kabisa kumvuta mwanaume yeyote mkware lakini kwa John haikusaidia kitu.
“John mbona huongei au
unafikiria siku ile niliyokulazimisha najua ni kosa lakini nilifanya vile
kutokana na kuzidiwa lakini nilikuomba msamaha na nikahidi kukulipa utakacho,
naomba usiendelee kunitena nakupenda hata ukitaka iwe wazi nitafanya hivyo kila
mtu ajue,’’
“Wee sitaki usifanye
hivyo mwalimu utaniweka katika hali ngumu hali ya baba yangu naijua mwenyewe
akisikia mambo hayo anaweza kuniua kama hakufa yeye maana mimi ndiyo tegemeo
lake,’’ akafunguka John mwalimu Magdalena akatabasamu kusikia kauli ya John
“Nimefarijika kusikia kauli yako maana sikusikia sauti yako tangu siku
hile ya faragha leo naomba radhi tena kwa kitendo nilichofanya cha kukulewesha
pombe lakini pia naomba nitamke wazi kwamba nakupenda na nataka uwe wangu,’’
alisema Mwalimu Magdalena huku akiuvuta mkono wa John na kuuelekeza katika
mapaja yake.
Aliupapaza kama dakika moja ghafla John akastuka kama mtu aliyekuwa
usingizini, alimwangalia Mwalimu Magdalena aliyeonyesha wazi alitaka faragha
lakini John aliinuka taratibu akaenda dirishani kuangaza kama hakuna mtu nje ya
chumba alichopanga mwalimu huyo kisha akatoka na kumuacha mwalimu Magdalena
akiwa hohi kitandani.
“John, John, John unataka nidhalilike kama Laveda wa BBA, njoo John..’’
aliita bila mafanikio kwani John alirudisha mlango kiapotea katika upeo wa
mwalimu Magdalena akiwa ajitambui kilichotokea.
John hakwenda mabili
sana alikwenda hadi nyumba ya nne kutoka katika nyumba ya Mwalimu Magdalena
akakaa chini akajifikiria alivyomuacha mwalimu Magdalena hakupata jibu kamili.
Baada ya muda akajikuta
akiinuaka na kurudi akwa mwalimu Magdalena, akiwa anarudi kwa haraka kama mtu
aliyetaka kwenda kuonyesha uwezo wake kwa mwalimu huyo lakini akiwa nje ya
mlango wa mwalimu huyo akasikia sauti za ajabu ndani ya chumba cha mwalimu.
Sauti hizo hazikuwa
rasmi zilimshangaza John kwani haikupita muda mfupi tangu aondoke katika nyumba
hiyo akajilaumu kwamba mwalimu alimuhitaji lakini ameshindwa kumsaidia ndiyo
maana amemtafuta mwanaume mwingine ili amsaidie lakini hakupata jawabu.
Taratibu nguvu
zikamuisha akajikuta akikaa chini ya mlango huo lakini kilichomshangaza ni
kimya cha muda wakati awali alisikia kelele.
Akaamka na kusunguka
nyuma ya nyumba hiyo lilipo dirisha taratibu akalisogelea na kujaribu kitazama
kupitia pazia la kanga lililotundikwa katika dirisha hilo lakini hakuona
vizuri.
Alijiuliza kwamba
mwalimu huyo ndiyo amemaliza haja zake na mwanaume mwingina ama la lakini kabla
hajaita kelele zikaibuka tena.
“Mamama nakufaa
nisaidieni,’’
“Mwalimu usipige kelele
utaniabisha nitaonekanaje hapa kijijini mimi ndiye mwenyekiti wa mtaa sasa
ukinipigia kelele hivyo si utanidhalilisha, embu nistahi wewe mtu mzima sasa
alafu fursa hapa kijijini utapata nitakupatia mashamba na kila kitu unachotaka.
“Sitaki mwenyekiti,
sitaki sitaki kabisa naomba tuheshimiane, toka ndani kwangu tokakaa nitapiga
kelele jamani eheeee naomba msaada,’’ akapiga kelele tena kwa sauti kubwa.
Lakini sauti zile
ahazikufika kokote kutokana na nyumba hiyo kuwa mbali kidogo na nyumba za
wakazi wengine lakini sauti hiyo ilimuingia vema John lakini hofu yake kubwa
ilikuwa ni mwenyekiti wa mtaa na hali ya wazazi wake katika kijiji hicho.
Akajitadhimini cha
kufanya lakini hakupata jibu zaidia ya kuendelea kuumia kutokana na sauti
alizotoa mwalimu Magdalena.
“Mwenyekiti mi
sitaki,’’
“Utaki wapi na kwa
taarifa yako kelele zako hazifiki kokote mimi si mjinga kuja kukuweka huku
nilikuopa nyumba mbali na wakazi wengine kwa ili niweze kuburudika nawe sasa
kama hutaki nitafanya kwa lazima,’’ alisema mwenyekiti
‘Ahaaaaa,
ananibakaaaaaaa!
“Heeeee!” Sauti hiyo
ilimstua John akakimbia moja kwa moja mlangoni akaanza kugonga ili kumtuliza
mwenyekiti asitekeleze anachotaka kwa mwalimu, Magdalena.
Nini kitaendelea, hivi John atafanya nini kumzuaia
mwenyekiti wa mtaa huyo na mwalimu Magdalena nini hatma yake mikononi mwa
mwenyekiti wa kijiji hicho,itandelea usikose.....
Enter your comment...GOOD;BETTER,BEST
JibuFutaSikuwahi kuamini kitu kama hiki kingeweza kunitokea hadi ndoa yangu ilipokaribia kuisha kabisa.
FutaMume wangu alibadilika ghafla. Mwanaume ambaye hapo awali alinipenda na kunijali akawa baridi, asiyejali, na mwenye hasira bila sababu. Aliacha kuonyesha nia katika ndoa yetu, akaniepuka kabisa, na hatimaye akaniomba talaka. Nilivunjika moyo kwa sababu nilimpenda mume wangu kwa moyo wangu wote.
Mambo yalizidi kuwa mabaya aliponizuia kila mahali — WhatsApp, Facebook, Instagram — kana kwamba sijawahi kuwepo. Nililia kila usiku nikijiuliza nilifanya nini kibaya.
Siku moja, rafiki wa karibu alinitembelea na kunitambulisha kwa mtu wa kiroho anayeitwa Dkt. Dawn. Kwa kweli, mwanzoni nilikuwa na shaka, lakini niliamua kumweleza kila kitu kwa sababu sikuwa na chochote cha kupoteza.
Dkt. Dawn alinisomea mambo ya kiroho, na nilishtuka. Alifichua siri kuhusu ndoa yangu na maisha yangu binafsi ambayo hakuna mtu aliyejua. Kila kitu alichosema kilikuwa sahihi 100%. Kisha akafichua kwamba mwanamke mwingine alikuwa amemloga mume wangu. Mwanamke huyu alikuwa akimtembelea mara nyingi, na kwa upumbavu niliamini ilikuwa kuhusu kazi tu.
Dkt. Dawn alinisaidia kuvunja uchawi na akafanya ibada yenye nguvu ya kurejesha upendo kwa ndoa yangu.
Kwa mshangao wangu mkubwa, muda mfupi tu baadaye, mume wangu alinifungulia kizuizi mwenyewe na kuanza kunipigia simu na kunitumia ujumbe mwingi, akiniomba nimsamehe na nirudi nyumbani. Mwanzoni nilimpuuza kwa sababu ya maumivu aliyonisababishia, lakini hatimaye alirudi nyumbani akiwa na zawadi na machozi machoni mwake akiomba nafasi nyingine.
Leo, ndoa yetu ni imara zaidi, yenye furaha zaidi, na yenye amani zaidi kuliko hapo awali. Mapenzi kati yetu yanahisi upya kabisa.
Kana kwamba hiyo haitoshi, Dkt. Dawn baadaye alinisaidia na ibada ya ujauzito kwa sababu tulikuwa tumejitahidi kwa miaka mingi kupata watoto. Ndani ya wiki 8, nilipata mimba kiasili, na leo tumebarikiwa na wavulana wawili wazuri wenye afya njema.
Nitaendelea kushukuru milele.
Ukihitaji: Uchawi wa mapenzi wa kuungana tena na mpenzi wako wa zamani
. Usaidizi wa kurejesha ndoa
. Tamaduni za ujauzito za kupata mimba
. Usaidizi wa kiroho kwa kesi za mahakamani au kupona urithi
. Mwongozo na ulinzi wa kiroho
Ninapendekeza sana Dkt. Dawn. Ushuhuda wangu ni wa kweli, na furaha yangu leo ni uthibitisho. WhatsApp yake: +2349046229159. dawnacuna314@gmail.com
So mbaya sana
JibuFutaSehem ya pili??
JibuFutaDuh noma sanaa
JibuFutaumetisha
JibuFutaNinomaaaa
JibuFutaNzuri sanaa
JibuFutaNilipitia kipindi kigumu sana cha kutengana na mpenzi wangu. Tuliacha kuzungumza, na hata alinizuia kwenye mitandao yote ya kijamii. Nilivunjika moyo na sikujua la kufanya, kwa hivyo nilianza kutafuta msaada mtandaoni. Hapo ndipo nilipokutana na shuhuda kadhaa kuhusu Dkt. Dawn na jinsi alivyowasaidia watu kuunganisha tena mahusiano na ndoa zilizovunjika, na pia kuwasaidia wanawake kupata mimba kupitia mwongozo wake.
JibuFutaMwanzoni, sikuwa na uhakika, lakini niliamua kuwasiliana naye. Tulipozungumza, aliniambia mambo kunihusu na uhusiano wangu ambayo yalikuwa sahihi sana. Kisha akaniongoza kuhusu kile nilichopaswa kufanya.
Kwa mshangao wangu, ndani ya saa 48, mpenzi wangu—ambaye alikuwa amenikatisha tamaa kabisa—alianza kunipigia simu na kunitumia ujumbe mwingi, akiomba msamaha na kuomba msamaha. Nilimsamehe, na tukarudiana.
Sio hivyo tu, bali kwa ibada na mwongozo wake wenye nguvu, sasa tumebarikiwa na watoto wawili wazuri.
Ninashukuru sana kwa kila kitu, na ninampendekeza sana Dkt. Dawn kwa yeyote anayepitia changamoto za uhusiano, ndoa, au uzazi.
WhatsApp yake: +2349046229159
dawnacuna314@gmail.com