Vodacom yaja na teknolojia ya password ya sauti.
Kampuni ya simu za mkononi ya VodaCom imezindua ya teknolojia mpya ya kurekodi sauti kutunza namba ya siri badala ya ile ya maandishi iliyozoeleka.
Huduma hiyo ambayoimeanza kutumika rasmi nchini afrika kusini ni asalama zaidi kwa utunzaji wa namba za siri katika simu ikilinga nishwa na ya maandishi ambayo hutumiwa na watu wengi.
Huduma hiyo ambayoimeanza kutumika rasmi nchini afrika kusini ni asalama zaidi kwa utunzaji wa namba za siri katika simu ikilinga nishwa na ya maandishi ambayo hutumiwa na watu wengi.
Mtendaji mkuu wa huduma kwa wateja afrika kusini wa kampuni hiyo Dee Nel amesema dar es salaam leo kuwa mteja wa vodacom anetumia teknollojia hiyo anauwezo wa kuituinza namba yake ya siri bila mtu mwingine kuitambua.
"ili kujiunga na huduma hii mteja anatakiwa kurekodi nambaya siri inayotamkwa na sauti yakekwenye my vodacom App au kwa kupiga simu katika kituo cha huduma kwa wateja namba ya simu 111/082111,pindi mteja akisajili password yake kwa sauti yake basi ndiyo itakuwa inatumika siku zote anapotaka kufanya mhamala wowote na mtu yeyeote akitaka kuiga sauti ya mhusika itakuwa viogumu kutambulika kufanya mhamala wowote"amesema Nel.
teknolojia hii ni moja ya mapinduzi ya kiteknolojia yanayoendelea siku hadi siku duniani na hata kwetu vodacom tumeanza kuitumia ikiwa ni m,wendelezo wa kubuni huduma za kurahisisha maisha kwa wateja wetu.
Maoni
Chapisha Maoni