Kesi ya Ngassa yapigwa kalenda

Mahakama ya Wilaya ya Temeke, Dar es salaam imeipiga kalenda kwa siku 35 kusikiliza kesi ya talaka ya madai namba 30/2014 inayomkabili mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa.

Mrisho Ngassa
GAZETI la Bingwa Alhamisi, Oktoba 23,limeripoti.

Maoni