Hadithi BEHIND OF MY EYES (NYUMA YA MACHO YANGU) sehemu ya tatu

TITLE :BEHIND OF MY EYES
(NYUMA YA MACHO YANGU)
MWANDISHI JOHN JACKSON
SEHEMU YA 3.

BAADA YA MIEZI SITA 6
DAR ES SALAAM
Meshaki Akiwa Msanifu Majengo Wa Shirika Hilo alipatiwa Nyumba ya Kuishi Maeneo  ya Masaki akiishi  na mama yake  kiujumla maisha yao meshaki na mama yake yalikuwa mazuri sana siku  moja meshaki akiwa ofisini kwake alipokea simu kutoka makao makuu ya shirika ikimtaka awatangazie wafanyakazi wake semina ya siku tano itakayo wakutanisha wafanyakazi wote wa Bara la Afrika na mkutano huo utafanyika Afrika kusini hivyo waanze maandalizi,
Muda huo huo meshaki aliitisha mkutano wa dhalula na walitakiwa watu wawili watakao iwakilisha ofisi akiwemo na meshaki , baabda ya mkutano huo meshaki alipanda gari yake na kurudi nyumbani alimkuta mama yake ameketi kwenye sofa  huku akiuvuta sigara na kunywa pombe.
Meshaki: alistaajabu na kumuuliza mama yake kulikoni na ameanza lini mambo ya kunywa pombe
Mama: “ hapana mwanangu nafanya ili kujiburudisha kama marehemuj mama yangu”
Meshaki: “Basi sawa ila tumia vituy hivi kwa upole wewe ndio nguzo yangu mama”
Mama “usijali mwanangu”
Meshaki alimdokeza mama yake kuhusu safari yake  ya kikazi afrika kusini
Mama :alimkubalia japo nay eye alimuomba meshaki kiasi cha pesa ili afungue biashara yake ya hoteli
Meshaki: alimpatia mama yake shilingi milioni 50 ili aendeshe kazi yake  na siku ya tatu meshaki aliondoka kwenda Afrika Kusini
AFRIKA KUSINI
Ilikuwa ni mida ya usiku mabasi yakiwapokea  wafanyabiashara  wa shirika hilo kuelekea hotelini, waliingia hoteli ya Joahn hoteli ambayo ndiyo  itakayo tumika katika semina kwa siku tano , meshaki alipokuwa anashuka kwenye basi alimuona Joyce kwa mbali  na alipojalibu kumuita alizuiliwa na askari aliyekuwa akilinda katika hoteli hiyo kwani ilikuwa ni sheria ya hoteli hiyo kutopiga kelele.
Siku iuliyofuata wafanyakjazi kutoka Bara la Afrika wote wa shirika hilo walikuwa ndani wakipata semina, alisimama joyce kwenda kusoma taarifa ya mkutano , alipokuwa akisoma alimuona meshaki, alionesha uso uliojaa furaha  na baada ya semina walipata wasaha wa kuonana.
Joyce akionekana mwenye furaha sana kumuona meshaki wakiwa wametoka nje kidogo ya hoteli
Meshaki” Alibaki ameshangaa baada ya joyce kumtamkia kuwa wawe mke na mume meshaki kwa furaha alipiga kelele na kusema nimempata!
Watu walihisi  labda kushanganyikiwa au kuweuka lakini kumbe meshaki alikuiwa na furaha ya kukubaliwa ombi lake alilokuwa akilisubilia kwa muda.
Muda wa semina uliisha na kila mtu akatakiwa kurudi sehemu yake ya kazi,Meshaki aliludi Dar es salaam na Joyce aliludi Uganda huku wakiwekeana miaadi ya kufunga ndoa na  Meshaki akiahidi kufanya mbinu zote ili Joyce aje kufanyia kazi Tanzania.
DAR ES SALAAM.
Meshaki aliludi nyumbani katik,a hali iliyomshangaza ni kumuona Mama ytake amejenga Hoteli nzuri jambo hilo lilimfanyaMeshaki afurahie sana siku iliyofuata Meshaki aliondoka na Mama yakje kwenda Super Market ya kununua vitu kwaajili ya Matumizi ya Nyumbani.
Wlipofika katika maeneo hayo wakiwa ndani ya gari walimuona mlinzi ambaye alikuwa akiwaelekeza sehemu ya kupaki gari akiwa amevalia kapelo. Lakini Meshaki alihisi kumtambua mtu huyo,
Meshaki akiwa ndani ya gari mama huyu kama namfanisha na rafiki  yangu Tegete
Mama Duniani watu wawili wawili hebu hebu paki gari tufanye shopingi yetu tuondoke!
Meshaki   “ok sawa”
Walishuka na kuingia ndani japo Meshaki akiendelea kumuangalia Yule mlinzi ambaye alikuwa akiendelea kuelekeza magari yanayoingia.
Wakiwa ndani wakiendelea na huduma Meshaki na mama yake walimuita muhudumu ili aje kuwabebea mizigo likini katika hali ya kushangaza alikuja Oscar rafiki yake Meshaki tang udogoni woye walipatwa na mshangao na wakakumbatiana hukju wakiona ni miujiza .
Meshaki “ Ndugu yanguni wewe kweli”
Oscar “ Ndio ni mimi kaka”
Walikumbatiana kwa furaha
Mama “Oscar hapa imekuwaje”
Oscar maisha mama
Meshaki “wapi tegete”
Oscar yupo hapo nje
Meshaki  anafanya nini
Oscar ni mlinzi hapo getini
Meshaki alimuangalia mama yake usoni huku akisema “mama ndio yeye tegete tuliyemuona nje!” twende tumfuate
Oscar akiwa na meshaki nje kwa furaha Oscar alimuita “Tegete njoo umuone Meshaki huyu hapa”
Tegete tusitaniane bwana huu ni muda wa kazi  acha matani yako
Oscar na meshaki: meshaki kaka tegete mimi Oscar
Tegete alivua kapelo yake na kumuangalia usoni ali,ta,bua ni meshaki rafiki walifurahi sana kukutana.
Meshaki aliwaomba wampeleke sehemu wanayoishi walifika mpaka maeneo ya Vingunguti walipokuwa wanaishi akina Oscar, maisha yao yalimfanya meshaki aone aibu hivyo kuwaomba waende kuishi kwake
Oscar na Tegete:walikusanya mabegi yao na kwende kuishi kwa rafiki yao meshaki ambaye alifanikiwa kimaisha sana waliingia ndani kwa meshaki huku wakibaki wakishangaaa baada ya kuona maisha anayoishi rafiki yao kwa sasa nyumba nzuri, magari ya kifahari.
Siku mmoja wakiwa mezani wakipata chakula cha usiku.
Meshaki aliwaambia rafiki zake “ Ndugu zanguj mimi nataka kufanya jambo juu yenu
Oscar jambo ganikaka?
Meshaki nataka kuwatafutia sehemu za kuwashikiza ili muishi maisha mazuri
Teget na Oscar tutashukuru sana kaka
Baada ya mazungumzo hayo kila mtu alitawanyika kwenda kupumzika lakini mama meshaki alimuomba meshaki abaki kidogo azungumze naye.
Mama: Meshaki huyu Tegete itabidi awe msimamizi wangu wa hotelini lakini Oscar utajua mwenyewe
Meshaki nashukuru sana mama na walitawanyika.
Asubuhi Meshaki alimchukua Oscar na kwenda naye ofisini kjwake huku Tegete naye akiondoka na mama meshaki ili kuelekezwa sehemu atakayofanyia kazi.
Meshaki alimpeleka Oscar mbele ya wafanyakazi weke na kumkabidhi ofisi Oscar na  kuwa Meneja Mkaguzi wa ofisini licha ya kuwa na elimu ndogo aliyokuwa nayo pia meshaki alimuamini Oscar atafanya kazi vizuri.
Oscar alimshukuru sana Meshaki.
Lakini meshaki alifanya klwa upendo na maisha ya Oscar na Tegete yalibadilika licha ya kuwa bado walikuwa wanaishi kwa Meshaki.
Siku iliyofuata Meshaki alikuwa na safari ya kwenda Uganda kwa Joyce ili akamalize mambo yote ya uhamisho wa Joyce  kuja kufanyia kazi Tanzania na huwenda akamaliza wiki yupo huko.
Usiku uliingia Oscar , Tegete na Mama Meshaki walikuwa wakicheza karata na moja ikadondoka chini ya meza waliyokuwa wakichezea
Oscar aliinama ili aikote karata kwa bahati mbaya alipokuwa anainama mkono wake uligusa paja la mama Meshaki
Oscar sorry mama
Mama meshaki usijali
Na baadaye walitawanyika kwenda kupumzika chumbani na huku mama Meshaki alikuwa akifikiria jinci Oscar alivyo mgusa paja lake.
Katika hali isiyo ya kawaida Mama meshaki aliingiwa na tama ya penzi na kuanza kumtamani Oscar.
Asubuhi walikaa mezani kwa ajili ya kupata chai kabala hawajaondoka kwenda kazini wakiendelea kunywa chai vidole vya miguu vya mama Meshaki vilianza kumgusa gusa Oscar.
Huku Oscar akihangaika kutoa miguu yake na baadaye waliondoka lakini Oscar alipotaka kupanda gari ili aondoke, Mamam meshaki alimuita Oscar na alipomsogelea ili amsikilize alimwambia kazi njema, ingawa mama Meshaki alionekana kama mtu anyetaka kusema jambo furani tofauti na lile, Oscar aliingia ndani ya gari na kisha kuondoka.
Siku moja mama meshaki alimuomba Oscar amuende ampele sehemu, kwani yeye ahukuwa ajisikii vizuri kiafya kwa mavazi aliyovaa Mama Meshaki yalimuoigopesha Oscar kwani Mavazi hayo huvaa wasichana wa kileo.
Oscar alichukua gari na kuanza kuondioka  ndani ya gari jijnsi alivyyokuwa amekaa mama meshaki ilimfanya Oscar aone aibu muda mwingine akiangalie nje ili tu kukwepa kuangalia staili anazo kaa Mama Meshaki.
Walifika sehemu walikuwa wanaenda ilikuwa ni katika hoteli ambayo iko njew kidogo ya mji walipofika Oscar alibaki ndani ya gari na kumuacha Mama Meshaki akiingia ndani akiwam amelala akisikiliza redio.
Alikuja muhudumu kuletea taarifa kuwa mama amezidiwa Oscar kwa haraka alitoka ndani ya gari na kwenda  kumtazam Mama  Meshaki alielekezwa chumba alichokuwepo namba 6,Oscar aliingia ndani kwa haraka na alipingia hakuona mtu huku mlango ukiwa umefungwa.
Oscar alianza kuita Mama!Mama! katika hali ya kushangaza alitoka Mama Meshaki bafuni akiwa amevalia khanga moja na kumtaka Oscar wafany mapenzi ,jambo ambalo Oscar anaonekana kulipinga huku akizunguka zunguka kitandani.
Mama Meshaki aliahidi kumsemelea kwa meshaki kuwa amembaka jambo hilo lilimtisha sana Oscar na mwisho wa siku Oscar alikubali kufanya mapenzi na mama wa rafiki yake Meshaki waliludi nyumbani.
Usiku umeenda mida ya saa 7 usiku na kumkuta Tegete anawasubili.
Tegete aliona hali ya tofauti kwa Mama Meshaki kwani  aslionekana kama mgonjwa na kumuuliza Oscar vip  Mama amefanyeje?
Mama Meshaki alidakia ninaumwa mwanangu na kupitiliza chumbanikwake meshaki
Oscar akionekana na mawzo naye aliingia chumbani kwake kupumzika.
ITAENDELEA KIPINDI KIJACHO ..........

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HADITHI:MWALIMU MAGDALENA sehemu ya 1

Hadithi: Mwalimu Magdalena sehemu ya 5

Hadithi: Mwalimu Magdalena sehemu ya 4