TAHADHARI!! Wamiliki wa magari kuhusu aina hii ya WIZI
TAHADHARI!!
Kama unaendesha Gari mida ya Usiku, na ghafla ukaona Mayai (Eggs) yamerushwa na kupiga kwenye KiOO cha Gari yako cha mbele, tafadhari sana USISIMAME, Usiwashe WIPER na wala usimwage MAJI kwenye KIOO chako cha mbele, sababu Mayai na Maji hubadilika kuwa maziwa na kufanya kitendo hicho utazuia kabisa uwezo wako kuona MBELE kiasi cha kukulazimu kusimama na kusababisha KUVAMIWA na MAJAMBAZI. Na Majambazi wakishakuvamia ni hatari zaidi ndo inayofuata,mpe taarifa na mwenzio kuhusu aina hii ya wizi unaotumia Mbinu hii Mpya- gonga.
Maoni
Chapisha Maoni