Juliana
Little Keron mtoto wa pekee wa msanii JULIANA KANYOMOZI wa nchi UGANDA amefariki dunia mijini Nairobi Kenya katika hospital ya Aga Khan akiwa katika matibabu ya “Severe Athma” iliyomkamata akiwa shule.
Taarifa ambayo iliandikwa na mwanadada Juliana kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Facebook mapema kabla mauti hayajamkuta mtoto Keron akiwa pembeni ya mtoto wake wakati wa matibabu mjini Nairobi Kenya.
“My Family and I would like to inform my friends and Fans that my little Angel Keron has not been well after suffering a severe asthma attack while at school. He is currently admitted at Aga Khan Hospital Nairobi, and is getting the best medical attention. I am by his bedside 24hours. Please join us in praying for my Little Angel for his quick recovery. Thank You, Juliana”
Mungu ailaze pema peponi Roho ya Marehemu KERON, na ampe nguvu Msanii Juliana Kanyomozi na familia yake. Amen.-Gonga
Maoni
Chapisha Maoni