Didie
Utakua uliziona tu zile headlines za mitandao na magazeti mbalimbali duniani kuhusu uwezekano wa staa huyu wa soka Didier Drogba kurejea kuichezea Chelsea baada ya Jose Mourinho kuonyesha nia ya kumrudisha. Sasa taarifa rasmi iliyothibitishwa na Chelsea, mzaliwa huyu wa...
Maoni
Chapisha Maoni