MSHINDI WA MWAISHO WA"MTOKO WA MBUGANI" WA KAMPENI YA SERENGETI
Ndugu wa
mshindi wa “Mtoko wa Mbugani” ajulikanaye kwa jina la Joshua Robert akimpiga
picha simba ndani ya hifadhi ya Taifa ya Serengeti kwenye mtoko wao wa siku
tatu ndani ya hifadhi hiyo.Joshua alimsindikiza kaka yake Bw.Gabriel Robert aliyeibuka
mshindi wa mwisho wa mwisho wa “Mtoko wa mbugani” baada ya kushiriki kwenye
kampeni ya “Tutoke na Serengeti” iliyokua ikiendeshwa na kampuni ya bia ya
Serengeti kwa ushirikiano na BPESA kwa takriban miezi(4) ambapo washindi
walijinyakulia zawadi nyingine kama Limo Bajaj, fedha taslim, Bia za bure sambamba
na punguzo la Tsh.300 kwenye bia ya Serengeti Premium.
Mshindi wa
mwisho wa shindano la “Tutoke na Serengeti” Bw.Gabriel Robert Moriale
akiangalia kundi kubwa la wanyama aina ya pundamilia katika Hifadhi ya Taifa ya
Serengeti wakati wa kukamilisha mtoko wao wa siku tatu ndani ya hifadhi hiyo. Robert
aliibuka mshindi wa mwisho wa “Mtoko wa mbugani” baada ya kushiriki kwenye
kampeni ya “Tutoke na Serengeti” iliyokua ikiendeshwa na kampuni ya bia ya
Serengeti kwa ushirikiano na BPESA kwa takriban miezi(4) ambapo washindi
walijinyakulia zawadi nyingine kama Limo Bajaj, fedha taslim, Bia za bure sambamba
na punguzo la Tsh.300 kwenye bia ya Serengeti Premium.
Mshindi wa
mwisho wa shindano la “Tutoke na Serengeti” Bw. Robert Gabriel Moriale wa pili
(Kushoto) aliyeongozana na mdogo wake Bw. Joshua Robert (Wa kwanza kulia)
wakitalii ndani ya Ngorongoro na kupata maelekezo kutoka kwa mwelekezi (Tour
guide) kabla ya kuanza safari ya kwenda Serengeti national park. Bw. Robert
aliibuka mshindi wa mwisho wa “Mtoko wa mbugani” baada ya kushiriki kwenye
kampeni ya “Tutoke na Serengeti” iliyokua ikiendeshwa na kampuni ya bia ya
Serengeti kwa ushirikiano na BPESA kwa takriban miezi(4) ambapo washindi
walijinyakulia zawadi nyingine kama Limo Bajaj, fedha taslim, Bia za bure sambamba
na punguzo la Tsh.300 kwenye bia ya Serengeti Premium.
|
Maoni
Chapisha Maoni