Taarifa nyingine ya aliyejinyonga baada ya matokeo kutangazwa

Imekuwa kawaida kila mwaka pale ambapo matokeo yanapotoka watu wengenge utalajia mambo mazuri ata yulealiye kuwa kilaza dalasani naye anaamini atafaulu tu ila matokeo yake mambo yanakuja kutokana na kile ulicho panda kama ulipanda mawe basin ni mawe unatakiwa kuvuna
Kinachosikitisha Zaidi ni pale wanapo chukua hatua kama huyu
Kijana mmoja ajulikanaye kwa jina John Maduhu wa Kijiji cha Pandagichiza, Wilaya ya Shinyanga vijijini kaamua kujinyonga baada ya matokeo ya kidato cha nne yaliyotoka jana kumjia vibaya, akiongea na mwandishi, kaka wa marehemu alisema kuwa baada ya matokeo kutoka, JOhn alitoweka nyumbani

                                    

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HADITHI:MWALIMU MAGDALENA sehemu ya 1

Hadithi: Mwalimu Magdalena sehemu ya 5

Hadithi: Mwalimu Magdalena sehemu ya 4