Picha 4 za mshindi wa Bajaji wa shindano la Tutoke na Serengeti

Displaying sere5.JPGMeneja Mauzo  wa Serengeti Breweries Ltd  Mkoa  wa Morogoro Bw.Moses Bartazary (Mwenye kofia ) akikabidhi Funguo ya Bajaj Limo yenye uwezo wa kubeba abiria saba kwa  mshindi  wa kwanza wa shindano  la Tutoke  na  Serengeti  Bi Rukia Almas ambaye ni mkazi wa Kihonda na mfanyakazi  katika Bar ya  Kambarage iliyopo manispaa  ya  Morogoro.




Displaying sere2.JPGKampeni ya Tutoke na Serengeti wameungana na B-Pesa wataalam wa teknolojia mpya ambao hivi karibuni wamezindua mfumo mpya wa usafirihaji wa fedha. B-Pesa watahusika pia katika kusambaza fedha kwa washindi mbalimbali kote nchini kupitia simu za mkononi.Ili kushinda, unachotakiwa kufanya ni kununua bia ya Serengeti Premium Lager na angalia chini ya kizibo atakuta namba ambazo zinatakiwa kutumwa kwa ujumbe mfupi wa maneno (sms) kwenda namba 15317 ili kuingia katika droo.

Displaying sere 3.JPGBi Rukia Almasakionyesha ufunguo wake
Displaying sere 4.JPG Mshindi Bajaj aina ya Limo yenye uwezo wa kubeba abiria saba, Bi Rukia Almas ambaye ni mkazi wa Kihonda Morogoro akionesha bia ya Serengeti Premium Lager ambayo ndiyo iliyomwezesha kunyakua bajaji.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HADITHI:MWALIMU MAGDALENA sehemu ya 1

Hadithi: Mwalimu Magdalena sehemu ya 5

Hadithi: Mwalimu Magdalena sehemu ya 4