Mme amkata mke mikono kwa kumnyima unyumba

Mwanamke Jasmini kassimu mkazi wa kijiji cha Singunga Kitongoji cha Kawibiri wilaya ya Uvinza, amekatwa mikono yake yote miwili kwa panga na mume wa ke wa ndoa,Abrahaman Kakulu,kwa kile kilichodaiwa kuwa nikukataa kufanya tendo la ndoa
Akizungumza na gazeti hilo katika Hospital ya Mkoa wa Maweni alipo lazwa kwaajili ya matibabu Jasmini alidai kuwa mume wake Kakulu alimtendea tukio hilo Usiku wa oktoba 29 mwaka huu.
Gazeti la MTANZANIANOV 03 limeripoti.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HADITHI:MWALIMU MAGDALENA sehemu ya 1

Hadithi: Mwalimu Magdalena sehemu ya 5

Hadithi: Mwalimu Magdalena sehemu ya 4