Kikwete afanyiwa upasuaji wa tezi dume

Rais Jakaya Kikwete
Rais wa Jakaya Mrisho
Kikwete alifanyiwa upasuaji wa tezi dume (prostrate) katika Hospitali ya
Johns Hopkins iliyoko Baltimore, Jimbo la Maryland nchini Marekani.Upasuaji huo ulikuchukua kiasi cha saa moja unusu ambapo inaelezwa kuwa umefanyika salama na kwa mafanikio makubwa.
Taarifa hiyo inasema hali ya Rais Kikwete inaendelea vizuri japo bado yuko wodini akiendelea kuwa chini ya uangalizi wa madaktari na kupatiwa tiba.
Maoni
Chapisha Maoni