IGP MSTAAFU PHILEMONI MGAYA ASHEREHEKEA MIAKA 85 YA KUZALIWA KWAKE HUKU WAZIRI MKUU MSTAAFU MSUYA AKIWAASA WATANZANIA.

Mara Baada ya Ibada katika Kanisa la Azania Front wakati wa  kuadhimisha miaka 85 ya kuzaliwa ya aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Philemoni MgayaBaadhi ya waumini mbalimbali wakiwa nje baada ya IbadaMkuu  wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Mstaafu Philemoni Mgaya akiwa katika siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake KekiWaziri  Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya akimpongeza aliyekuwa IGP Philemoni Mgaya Mzee Timothy Msangi akieleza Historia fupi ya IGP Mstaafu Philemoni Msangi Askofu Mkuu wa Kanisa la Kilutheli Tanzania (KKKT) Alex Malasusa akitoa salam za Pongezi kwa IGP mstaafu Mshauri wa kimataifa wa Kujitegemea wa Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Limited James Rugemalira akitoa pongezi zake kwa IGP Mstaafu na kuelezea  Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Limited
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo Benedicta Rugemalira akitoa salam za Pongezi kwa IGP mstaafu
Mshereheshaji Joe Mgaya ambaye ni Mtoto wa IGP Mstaafu Philemoni Mgaya akisherehes
Waziri wa Habari na Utangazaji Fenera Mukangara  akimpa mkono wa Pongezi IGP mstaafu

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HADITHI:MWALIMU MAGDALENA sehemu ya 1

Hadithi: Mwalimu Magdalena sehemu ya 5

Hadithi: Mwalimu Magdalena sehemu ya 4