Afganistani kupambana na Ubakaji

Afganistani
Serikali nchini Afganistani
inachukua hatua ya kukabiliana na kundi linadaiwa kuhusika na ubakaji,
baada ya mume wa muhanga wa tukio la ubakaji (Jahangir) kutoa hisia zake
kupitia televisheni huku akidai haki.
Mke wa (zeba) anasema
alibakwa miaka mitano iliyopita na wanaume nane katika jimbo la
Badakhshan wakati akiwa nyumbani na watoto wake.Wanaume wawili wanashikiliwa na polisi, pia serikali yaagiza watu sita wengine kukamatwa kutoakana na kesi ya ubakaji.
Familia ya muhanga huyo inasema wahusika wa tukio hilo wanammalaka makubwa kisiasa,wanasema wamepokea vitisho vya kuuliwa endapo watajaribu kuiendeleza kesi hiyo.-bbc swahili
Maoni
Chapisha Maoni