Washukiwa 7 wa uchawi wachomwa moto Kigoma

 
nyumba iliochomwa 
Polisi nchini Tanzania wanasema watu 7 wameuawa kwa kuchomwa katika eneo la Kigoma magharibi mwa tanzania kwa tuhuma za uchawi.
Nyumba za marehemu hao pia zinaripotiwa pia kuchomwa.
Polisi anayeesimamia eneo hilo amesema zaidi ya wanavijiji 20 wanaotuhumiwa kushiriki katika kitendo hicho cha kuwashambulia marehemu hao wametiwa mbaroni.
Shirika moja la kutetea haki za binadamu lasema zaidi ya watu 500 hasa wazee huawa nchin humo kila mwaka kwa kudhaniwa kuwa wachawi.-BBC
 

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HADITHI:MWALIMU MAGDALENA sehemu ya 1

Hadithi: Mwalimu Magdalena sehemu ya 5

Hadithi: Mwalimu Magdalena sehemu ya 4