Watu weusi wabaguliwa Korea kusini

Tangu kuanza kwa ugonjwa wa Ebola kumekuwapo na
malalamiko ya watu wanaotoka Barani Afrika kutengwa kwa kutopewa huduma
za kijamii nchini Korea ya kusini ikiwamo kutoruhusiwa kuingia katika
Migahawa na usafiri wa umma kwa madai ya kuwa huenda wana virusi vya
Ebola.
Aidha, baadhi yao wamedai watu weusi wanaposimamisha TAXI hazisimami kutokana na hofu ya virusi hivyo vya Ebola.nimezungumza na Kijana RWEHUMBIZA KALANGALI,ambaye ni mwanafunzi anayesoma huko Korea Kusini, na hapa anaeleza hali ilivyo
Maoni
Chapisha Maoni