ISMAIL ADEN RAGE APATA AJALI, GARI LAKE NYANG'ANYANG'A

Mara baada ya gari lake aina ya Toyota Land Cruiser V8 kuanguka, Rage alifanikiwa kutoka salama ndani ya gari hilo.
Rage ambaye ni Mbunge wa Tabora Mjini amepata ajali hiyo wakati akiwa njiani kutoka jimboni kwake kwenda Dodoma.
Habari za uhakika zinaeleza Rage anaendelea vizuri licha ya kuwa na taarifa kwamba hali ya si nzuri.-Chanzo SALEHE jembe
Maoni
Chapisha Maoni