Hichi ndicho alicho kisema Diamond Platnumz's mara baada ya kushinda hii tunzo.

Shukran zangu nyingi zikufikie wewe shabiki yangu kwa kuiwezesha nyimbo ya Number One kuwa Nyimbo bora ya East Africa kwenye tunzo za #TTTM_Awards Nchini BURUNDI... daima ntaendelea kujituma na kuhakikisha nawapa burudani ya uhakika.... Shukran za dhati kwa mwanangu @MafiaMnyama kwa kuiwakilisha vyema Wasafi nchini Burundi. Ameandika kwenye ukurasa wake wa Facebook

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HADITHI:MWALIMU MAGDALENA sehemu ya 1

Hadithi: Mwalimu Magdalena sehemu ya 5

Hadithi: Mwalimu Magdalena sehemu ya 4