Arsenal na Mancity uwanjani leo
Mabingwa wa kombe la F.A nchini Uingereza Arsenal na
mabingwa wa ligi ya Uingereza Manchster City wanajianda kutoana jasho
kuwania kombe la Charity Shield jioni ya siku ya jumapili.
Mechi hiyo ndio itakayofungua rasmi msimu mpya wa ligi kuu nchini humo.Hatahivyo baada ya kushinda taji la F.A kuna motisha kubwa katika uwanja wa Emirates msimu huu.

Yaya Toure Mancity
Vilevile hakuna mchezaji wa kilabu hiyo aliyewasili kutoka likizo ya kombe la dunia wiki iliopita ambaye atashirika katika mechi hiyo huku mshambuliaji Alvaro Negredo akiendelea kuhudumia jeraha lake la mguuni.
Mshambuliaji wa Arsenal Olivier Goroud huenda akakosa kushiriki baada ya kushindwa kutamba wakati Arsenal ilipochuana na Monaco katika kombe la Emirates.
Maoni
Chapisha Maoni