Ajali ya kuungua kwa basi la 5 Aliance leo
Hili ni basi la kampuni ya 5 Aliance ambalo linafanya safari zake
kati ya Mtwara na Dar es salaam limeungua asubuhi ya August 09 likitokea
Mtwara kuelekea Dar es salaam.
Taarifa ya awali inasema kuwa hakuna abiria aliyepata madhara yoyote juu ya kuungua kwa basi hili ambalo limeteketea kijiji cha Mihambwe mkoa wa Lindi.-CHANZO MILLARDAYO


Maoni
Chapisha Maoni